Je ulitokaje kwenye kifungo cha kichawi/kishirikina?

Je ulitokaje kwenye kifungo cha kichawi/kishirikina?

Nasikia Kuhani Musa wa pale Temboni anaweza kukuondolea hayo mabalaa na kisha akayaboresha akayarudisha kwa aliyekuloga yakiwa na nguvu mara dufu.

Ni wewe tu unaamua adui afe ama ateseke tu.
Nimeshasikia kuhusu huyu Kuhani, nitalifanyia kazi
 
Kwahiyo ukitafuta uchawi ndio utampendeza Mungu? Hapa nahisi unasumbuliwa pia na fikra zako mwenyewe zinakupoteza,.. Kama hautabadili attitude yako ni ngumu sana kufanikiwa kutoka kwenye hicho kifungo..
Mungu yupi?
 
Mbona sioni waislam wakikuita wakakuombee , wale jamaa wale lao Moja tu

USSR
 
Back
Top Bottom