N ngongoti2000 JF-Expert Member Joined Nov 20, 2017 Posts 2,236 Reaction score 2,142 May 24, 2022 Thread starter #41 TANMO said: Nasikia Kuhani Musa wa pale Temboni anaweza kukuondolea hayo mabalaa na kisha akayaboresha akayarudisha kwa aliyekuloga yakiwa na nguvu mara dufu. Ni wewe tu unaamua adui afe ama ateseke tu. Click to expand... Nimeshasikia kuhusu huyu Kuhani, nitalifanyia kazi
TANMO said: Nasikia Kuhani Musa wa pale Temboni anaweza kukuondolea hayo mabalaa na kisha akayaboresha akayarudisha kwa aliyekuloga yakiwa na nguvu mara dufu. Ni wewe tu unaamua adui afe ama ateseke tu. Click to expand... Nimeshasikia kuhusu huyu Kuhani, nitalifanyia kazi
Ralphryder JF-Expert Member Joined Nov 16, 2011 Posts 5,168 Reaction score 1,549 May 24, 2022 #42 Nanoli said: Kwahiyo ukitafuta uchawi ndio utampendeza Mungu? Hapa nahisi unasumbuliwa pia na fikra zako mwenyewe zinakupoteza,.. Kama hautabadili attitude yako ni ngumu sana kufanikiwa kutoka kwenye hicho kifungo.. Click to expand... Mungu yupi?
Nanoli said: Kwahiyo ukitafuta uchawi ndio utampendeza Mungu? Hapa nahisi unasumbuliwa pia na fikra zako mwenyewe zinakupoteza,.. Kama hautabadili attitude yako ni ngumu sana kufanikiwa kutoka kwenye hicho kifungo.. Click to expand... Mungu yupi?
USSR JF-Expert Member Joined Jul 15, 2015 Posts 10,904 Reaction score 26,184 May 24, 2022 #43 Mbona sioni waislam wakikuita wakakuombee , wale jamaa wale lao Moja tu USSR