DOKEZO Je, uliwahi kufika bar ya Lubumbashi (kuzimu ya Dar), Mbezi Mwisho?

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Kuna siku moja usiku tuliamua kuingia mara moja bar fulani iko mbele ya magomeni mwembechai aisee tuliacha bia mezani tukaondoka kwa mda ule tulitegemea totoz kinyume chake kulikuwa na taarabu mashoga kibao kama kumbikumbi
 
wahuni camp😂😂
 
Yaani ulivyoelezea mm ni mwenyeji maeneo ya mbezi Louis ni km eneo kubwa hivi ila hivyo vibaa ni vidogogidogo..

Na vinaweza kudhibitiwa hata na mtendaji
Kuna vitu ni sisi wenyewe tunaamua tusisubir kiongozi mkubwa aje aamue.
Umeona eeeeh!?
 
[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
 
Hio ya lodge naikubali,nilifika hapo 2015 na 2017 aisee nilikua nimeweka bajet ya lodge elfu 30 lkn baada ya kupelekwa lodge na bodaboda kuuliza bei naambiwa 15k sikuamini nikalala hapohapo sikutaka kuahangaika,ila kwa upande maeneo ya starehe bado sikuona,kama hapo Chillah sikupaelewa,labda kwa sasa hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…