DOKEZO Je, uliwahi kufika bar ya Lubumbashi (kuzimu ya Dar), Mbezi Mwisho?

DOKEZO Je, uliwahi kufika bar ya Lubumbashi (kuzimu ya Dar), Mbezi Mwisho?

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Huu mji una laana aisee juzi nimeenda bar moja Gomz nimeagiza choma kaja demu simjui akaanza kula akamalizia pia bia yangu nikaona isiwe kesi niende toilet alafu nisepe ishakuwa jau , si kanifuata toilet akainama na kuniambia anataka kunilipa nilivurugwa sana
Daaah kwaiyo ukapga shoo ama ilikuwaje mkuu
 
Huu mji una laana aisee juzi nimeenda bar moja Gomz nimeagiza choma kaja demu simjui akaanza kula akamalizia pia bia yangu nikaona isiwe kesi niende toilet alafu nisepe ishakuwa jau , si kanifuata toilet akainama na kuniambia anataka kunilipa nilivurugwa sana
Ulikosa uhondo aise
 
anaye jua maeneo/ bar zenye raha hizo pande za goba,madale,makongo nipeni muongozo aisee
 
anaye jua maeneo/ bar zenye raha hizo pande za goba,madale,makongo nipeni muongozo
 
Pole sana. Unayoyaona tunaishi nayo. Mbezi nyumbani. Pole sana. Dar ni maeneo machache hakuna huduma za kwa WAHAYA
 
Hali ikoje hapo Lubumbashi kwa mwaka huu 2025? Nataka nije hapo weekend hii.
 
Hii hipo hata hapa Sudan hotel ukiingia ndani umo usiku wanawake wanacheza uchi na kuweka chupa za bia ukeni naomba pia serikali iingie usiku Katika hotel ya Sudan kwa chini wajionee jinsi wanawake wanavyosasambua
Sudan ya wapi? Tandika au
 
Back
Top Bottom