Je, uliwahi kujiuliza swali hili muhimu kwa maisha yako na wengine?

Je, uliwahi kujiuliza swali hili muhimu kwa maisha yako na wengine?

The Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
11,099
Reaction score
13,709
Uichunguza dini zote za kigeni, zimejitahidi na bado zinaendelea kutufanya tuwe watumwa. Zinatuhimiza kumuona Mungu asiyeonekana kama bwana, mfalme, mkombozi na anayetumilki kulhali. Inakuwaje tunakubali kugeuzwa watu wa kisichoonekana wala kujionyesha kama siyo kuuziwa mbuzi kwenye gunia? Hebu zichunguze dini zote uzuri, utakujua ninachokiona kiasi cha kunihangaisha.
 
dini yangu ukristo inashawishi mtu kuamini hailazimishi,ikiwa mtu ataona ina hoja dhaifu kushawishika simply tu unaendelea na harakati zako.

nguvu ya leo kwa jambo lolote inasimamiwa na imani ya kesho,sio maswala ya dini tu,hata maisha ya kawaida ya kila siku.

ili utoke ktk mfumo huo unatakiwa uwe mnyama complitly sio kinadharia,kama angarau wanavyoishi akina dudukwe.wanaishi leo wala sio baadae au kesho.

maadam uko kwenye mifumo hii hii ya kisasa ya maisha tuliza boli,wacha wenge.
 
Uichunguza dini zote za kigeni, zimejitahidi na bado zinaendelea kutufanya tuwe watumwa. Zinatuhimiza kumuona Mungu asiyeonekana kama bwana, mfalme, mkombozi na anayetumilki kulhali. Inakuwaje tunakubali kugeuzwa watu wa kisichoonekana wala kujionyesha kama siyo kuuziwa mbuzi kwenye gunia? Hebu zichunguze dini zote uzuri, utakujua ninachokiona kiasi cha kunihangaisha.
Ebu tupe mrejesho wewe. Baada ya kugundua hilo umepiga Hatua gani? Isije ikawa nawe ni motivation speakers
 
Yohana 4: 22 Ninyi mnaabudu msichokijua .....
Sasa kama haujui unacho abudu hiyo ni changamoto binafsi, wala usichanganye watu wengine.

Mungu ni Siri na si kila mtu anaweza kuing'amua. Na wala hajiridhirishi kwa kila mtu tu. Ila kwa wale tu ambao wamekaa katika proper channel ya kumuelekea.
 
Back
Top Bottom