The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,709
Hofu + ahadi = imani
Ebu tupe mrejesho wewe. Baada ya kugundua hilo umepiga Hatua gani? Isije ikawa nawe ni motivation speakersUichunguza dini zote za kigeni, zimejitahidi na bado zinaendelea kutufanya tuwe watumwa. Zinatuhimiza kumuona Mungu asiyeonekana kama bwana, mfalme, mkombozi na anayetumilki kulhali. Inakuwaje tunakubali kugeuzwa watu wa kisichoonekana wala kujionyesha kama siyo kuuziwa mbuzi kwenye gunia? Hebu zichunguze dini zote uzuri, utakujua ninachokiona kiasi cha kunihangaisha.
shule je,siasa nayo?vipi kuhusu uchumi??DINI NI SCAMMER