Je, uliwahi kuwa maarufu shuleni?

Je, uliwahi kuwa maarufu shuleni?

Levolosi enzi yangu mnanielewa..Hakukua na DOMO ZEGE zaidi yangu...yani mdada anaeza kua mzuriiiii nikamsifiaa tukiwa boys peke yetu ila Ukitaka nivuruga Muite yule mdada aje,Mwambie Kuwa namuita akifika hutoamini ntavyogeuka BUBU. Basi wenzangu utawaskia (sema sasa ulikua unasemaje) Asee hamna mtu muoga wa kina dada kama mimi..TITLE yangu ya UDOMO ZEGE hadi leo kuna wajinga wananiita hvyo..wananiboa.
 
Wizi umepa umaarufu Sana shureni tokea primary Hadi advance
 
Back
Top Bottom