General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,303
- 23,064
Wale tuliosomea kijijini, hasa shule ya msingi, uliwahi kuweka punje ya kahawa au Ndorani ili kuuwa soo la Ticha?
Utundu nilianza darasa la Tatu (Kampan za wakubwa mbaya sana.
Sasa bhana tukiwa zamu ya kufanya usafi darasani, kuna kabinti nikawa nakatongoza nyuma ya mlango huku nakibhana kisawasawa....
Eebhanaa wee, si akakatiza mwalim mkuu alikuwa wa kike, akasikia kibinti kikilalamika " We Mangi niachee, naenda kukusemea kwa mwalim"
Mkuu si akasikia kwa nje, Nikasikia Nini eti, anakufanya nini huyu, Kibinti kikaropokaaa, " Kasema anataka kufanya na mimi tabia mbayaa"
Kuna mti ulikuwepo karibu na darasa letu, Mkuu akakata tawi fimbo nene, nikalazwa chini, aisee sikumbuki ni fimbo ngapi nilichapwaa, lkn pamoja na kuwa ni nyingi sikusikia maunivu yoyote.
Fimbo ilikatika katika na mwishowe akaniambia kesho uje na mzazi.
Hakuna kitu nilikuwa nachukia kama kuleta mzazi shuleni, afu ukiangalia nilikuwa naishi na Bibi.
Mzee mzima nikaenda home, kesho asubui mimi ndio nilikuwa wa kwanza kufika shule, nikaweka punje ya kahawa mlangoni kwake.
Kazi ikawa ni kujibanza kwenye kona nikisubiri Mkuu aje nishuhudie akivuka.
Kweli bhaa alivuka na hakukumbuka tena. Nilikutana nae uso kwa uso kama siku tatu mbele na wala hakukumbukaa.
Acha tu.