Je Uliwahi weka Punje ya kahawa mlango wa Ofisi ya Mwalimi kuuwa kesi?

General Mangi

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2013
Posts
15,303
Reaction score
23,064
Wale tuliosomea kijijini, hasa shule ya msingi, uliwahi kuweka punje ya kahawa au Ndorani ili kuuwa soo la Ticha?

Utundu nilianza darasa la Tatu (Kampan za wakubwa mbaya sana.

Sasa bhana tukiwa zamu ya kufanya usafi darasani, kuna kabinti nikawa nakatongoza nyuma ya mlango huku nakibhana kisawasawa....
Eebhanaa wee, si akakatiza mwalim mkuu alikuwa wa kike, akasikia kibinti kikilalamika " We Mangi niachee, naenda kukusemea kwa mwalim"

Mkuu si akasikia kwa nje, Nikasikia Nini eti, anakufanya nini huyu, Kibinti kikaropokaaa, " Kasema anataka kufanya na mimi tabia mbayaa"

Kuna mti ulikuwepo karibu na darasa letu, Mkuu akakata tawi fimbo nene, nikalazwa chini, aisee sikumbuki ni fimbo ngapi nilichapwaa, lkn pamoja na kuwa ni nyingi sikusikia maunivu yoyote.

Fimbo ilikatika katika na mwishowe akaniambia kesho uje na mzazi.
Hakuna kitu nilikuwa nachukia kama kuleta mzazi shuleni, afu ukiangalia nilikuwa naishi na Bibi.

Mzee mzima nikaenda home, kesho asubui mimi ndio nilikuwa wa kwanza kufika shule, nikaweka punje ya kahawa mlangoni kwake.
Kazi ikawa ni kujibanza kwenye kona nikisubiri Mkuu aje nishuhudie akivuka.

Kweli bhaa alivuka na hakukumbuka tena. Nilikutana nae uso kwa uso kama siku tatu mbele na wala hakukumbukaa.
Acha tu.
 
Hahhahahha, mm nakumbuka nilikuwa nanyofoa nyuso kwenye kope hara naweka kwenye mfuko wa shati, huku nikisema"mwalimu sahau"na kweli mwalimu alikuwa anasahau kabisa, sasa sijajua ile miujiza ya kweli au ndo mambo ya iman tena
 
Kuna mti fulani Moshi unaitwa mkuu punje zake za mbegu ilikua ukizipata unavizia sehemu ambayo msichana kakojoa unatupia hapo halafu unasubiria akitafute akupe mambo.sasa mimi niliona isiwe taabu kuvizia sehemu hizo moja kwa moja nikalenga kwenye choo cha wasicha shuleni nikaenda kuziweka humo ili niwapate lakini kilichonitokea nilikamatwa huko wakanibeba mzobe mzobe mpaka kwa mwalimu.aisee nilikula njiti za kutosha tangia siku iyo hiyo imani ikanitoka na kuamini kua ilinitokea puani kumbe ilitakiwa mtaani na sio chooni
 
Hahahahha mkuu kwahiyo stail ungesepa na kijiji
 
hahhaah
We ulikuwa hatari,
Sasa ulitaka kula madem shule nzima?
 
Hahahahha mkuu kwahiyo stail ungesepa na kijiji
Hahahahaha.sio mchezo ni balaa akili ilijiongeza lakini nikaishia mikononi mwa uma wa shule achilia mbali nilivyozomewa na shule nzima.utoto bana...
 
Kuna mti fulani Moshi unaitwa mkuu punje zake za mbegu ilikua ukizipata unavizia sehemu ambayo msichana kakojoa unatupia hapo halafu unasubiria akitafute akupe mambo.sasa mimi niliona isiwe taabu kuvizia sehemu hizo moja kwa moja nikalenga kwenye choo cha wasicha shuleni nikaenda kuziweka humo ili niwapate lakini kilichonitokea nilikamatwa huko wakanibeba mzobe mzobe mpaka kwa mwalimu.aisee nilikula njiti za kutosha tangia siku iyo hiyo imani ikanitoka na kuamini kua ilinitokea puani kumbe ilitakiwa mtaani na sio chooni
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kudadadekii,, ulitisha sna mkuu
 
Sijawahi..ila nimeweka sana vijiti saba mlangoni kwa Mama ili asahau kuniadhibu pale nilipokua nafanya kosa
 
Back
Top Bottom