Hahaha sisi ndo tulipigia kura ya ndio sera ya vyama vingi nyie tudharauni hivyohivyoHuyu mmezaliwa wote kipindi cha mfumo wa vyama vingi sema wewe unajipendelea tu.
Jidai tu.Hahaha sisi ndo tulipigia kura ya ndio sera ya vyama vingi nyie tudharauni hivyohivyo
Hahaa btw daby nilikumiso sana...uliendaga wapi bila kuniaga?Jidai tu.
Wewe ulinikataa nikaisusa JF.Hahaa btw daby nilikumiso sana...uliendaga wapi bila kuniaga?
Mimi nilikukataa au uliona nakusumbua ninavyokufuatafuata ukaona unitoroke?Wewe ulinikataa nikaisusa JF.
Ushasema utanizaa huku unasuza vyombo.... Au ulikosea kuqoute alikuwa mwingine?Mimi nilikukataa au uliona nakusumbua ninavyokufuatafuata ukaona unitoroke?
Mimi huyuhuyu? Utakuwa umesoma vibayaUshasema utanizaa huku unasuza vyombo.... Au ulikosea kuqoute alikuwa mwingine?
Haha acha mbwembweHivi rais kabla ya hao alikuwa ni nani...!!! Wengine tulizaliwa enzi za Carl Peters...
Acha bwana.... Huko uliko ni saa ngapi? Maana mida ya kunanii hiiMimi huyuhuyu? Utakuwa umesoma vibaya
Mida ya kula dakuAcha bwana.... Huko uliko ni saa ngapi? Maana mida ya kunanii hii
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Mida ya kula daku
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ukweli na uwazi[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Nisije nikaongea mengi maana nyie watoto wa enzi za mkapa.... Hamna Siri ni uwazi tu
Nami nilikumiss bwana sema ndiyo hivyo tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] ukweli na uwazi
Haya usiku mwemaNami nilikumiss bwana sema ndiyo hivyo tu
Nawe.Haya usiku mwema
Haya we ipo siku utapruvu...Haha acha mbwembwe