Je ulizaliwa enzi za rais gani?

Je ulizaliwa enzi za rais gani?

Huyu mmezaliwa wote kipindi cha mfumo wa vyama vingi sema wewe unajipendelea tu.
Hahaha sisi ndo tulipigia kura ya ndio sera ya vyama vingi nyie tudharauni hivyohivyo
 
Hivi rais kabla ya hao alikuwa ni nani...!!! Wengine tulizaliwa enzi za Carl Peters...
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Nisije nikaongea mengi maana nyie watoto wa enzi za mkapa.... Hamna Siri ni uwazi tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ukweli na uwazi
 
Back
Top Bottom