Kimziki Mr.Nice ameshuka au kapotea,Je mpaka sasa unadhani Diamond Platinumz kavunja rekodi ya Mr.Nice wa zamani acha mbali na diamond kukaa kwenye game kwa mda mrefu,Je kafunika umaarufu wa mda mfupi wa Mr.Nice?

Umenikumbusha mbali sana Mkuu,nahisi pia Mr Nice alishika pesa nyingi kuliko Diamond,akawa anaishia kufunga counter Bills.Kiburi,majivuno,ulimbukeni na kukosa elimu ndiyo vinawaangusha wasanii wetu