Je umaarufu wa Diamond Platinumz ni zaidi ya Mr.Nice wa zamani?

Je umaarufu wa Diamond Platinumz ni zaidi ya Mr.Nice wa zamani?

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,420
Reaction score
18,298
Kimziki Mr.Nice ameshuka au kapotea,Je mpaka sasa unadhani Diamond Platinumz kavunja rekodi ya Mr.Nice wa zamani acha mbali na diamond kukaa kwenye game kwa mda mrefu,Je kafunika umaarufu wa mda mfupi wa Mr.Nice?
 
aaah wapi mr nice alikuwa funiko la chuma aliteaka sana watoto,vijana wake kwa waume hata wazee
 
"kuku kapanda baiskeli, ng'ombe kavaa raizoni....!" Madogo na majanki wa zamani walikuwa mazuzu ndo maana Nice alikubalika.
 
bado sana kufikia umaarufu aliokua nao mr nice.!!!
 
Kimziki Mr.Nice ameshuka au kapotea,Je mpaka sasa unadhani Diamond Platinumz kavunja rekodi ya Mr.Nice wa zamani acha mbali na diamond kukaa kwenye game kwa mda mrefu,Je kafunika umaarufu wa mda mfupi wa Mr.Nice?

Umenikumbusha mbali sana Mkuu,nahisi pia Mr Nice alishika pesa nyingi kuliko Diamond,akawa anaishia kufunga counter Bills.Kiburi,majivuno,ulimbukeni na kukosa elimu ndiyo vinawaangusha wasanii wetu
 
diamond kamfunika, nw anafanya collarbo na davido c mchezo.....!
 
diamond anafahamika na visharobaro vichache hapo town
 
Back
Top Bottom