Je, umalaya na udanganyaji ni chapa na asili ya jamii fukara au ni tabia binafsi na matokeo ya makuzi?

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715
Maana kuna mademu huko mitandaoni sex imefanya hadi wanatembelea spacio lakini bado hawajakoma kujiuza.

Kuna mabinti wametoka kwenye umasikini mkali hata pale alipobakia na option moja ya kujiuza tu ili ajikimu yeye na familia yake hakufanya hivyo.

Ingawa wengi wa mademu hawa wakikuambia mitaa waliotoka ni ile ambayo umasikini na hali duni za maisha ndio vimekithiri.
 
Hao wamelogwa maisha yao yawe hivyo
 
Kujiuza ni starehe na ni addiction kama bangi, pombe na sembe, tofauti ni kwamba mlevi mdie mwenye bidhaa hivyo atauza kwa dau lolote na hata bure ikiwezekana kama kwa mkopo itashimdikana.

Stareh ye kudanga/kujiuza ndio uchumi wa wanawake, Ebu tuwaache wajikomboe na umasikini ila wafe mapema tena kwa aibu wapunguze ghasia.
 
Maana kuna mademu huko mitandaoni sex imefanya hadi wanatembelea spacio lakini bado hawajakoma kujiuza.

Kuna mabinti wametoka kwenye umasikini mkali hata pale alipobakia na option moja ya kujiuza tu ili ajikimu yeye na familia yake hakufanya hivyo.

Ingawa wengi wa mademu hawa wakikuambia mitaa waliotoka ni ile ambayo umasikini na hali duni za maisha ndio vimekithiri.
Spacio tu mkuu mademu wanamiliki mijumba na Range rover kisa kutiwa wanapanda hadi vyeo vikubwa vikubwa
 
Hiyo ni biashara kama biashara nyingine tu endapo mtu anaifanya pasipo kulazimishwa, serikali ingeangalia namna bora ya kuirasimisha na hata kuwatengea maeneo maalumu, wateja tupo
 
Malaya wa Tz wengi umasikini ndo unawafikisha huko na MTU akiingia katika hiyo Kazi ngumu kuacha

Kuna malaya wanajiuza wapate hela Ila pia kuna wanawake wenye uraibu wa kufanya ngono na kila MTU hawa hawaangalii pesa Sana.
 
Back
Top Bottom