Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Mambo hayo ni mchanganyiko sana.
1-Kuna wale mafukara wanaofanya mauzo kujikimu maishani.
2-Kuna walioanza kwa kuiga/kufuata mikumbo ya marafiki/kundi rika/kudanganywa kwa kazi nzuri hasa mijini na maguberi halafu wakanogewa.Mwishowe wakashindwa kujitoa aidha kwa kukosa kazi nyepesi kufanya/kumilikiwa kwa nguvu kutumikishwa kingono au kukosa ajira ya kudumu aishi/atunze familia.
3-Kuna wale ambao ni vipaji (maalumu)vyao/sex maniacs/hot pants kiasili.Yaani hao ni shida bin matataizo!Akiona mwanaume na kushusha macho kwenye flaizi tu anaanza kutoa miungurumo na kutetemeka magoti.Mambo ni vululuvululu!