HenrysoN
JF-Expert Member
- Mar 29, 2017
- 230
- 224
Watanzania wengi wanaishi katika hali ya umasikini licha ya rasilimali nyingi tulizonazo. Wengine wanaamini serikali haijawawezesha ipasavyo, huku wengine wakiona tatizo ni mtazamo wetu wenyewe:
Kutokupenda kubadilika, uvivu, au kutopenda kujifunza.
Kutokupenda kubadilika, uvivu, au kutopenda kujifunza.
Ni nani wa kulaumiwa zaidi? Serikali au wananchi wenyewe?Swali:😎