Luigi Alfred
Member
- Mar 17, 2016
- 66
- 45
Kwa hiyo waathirika wa umbeya wanaweza kuripoti matukio kama hayo polisi endapo tuna uhakika kuwa hili ni kosa la jinai. Hapa mtaani kwetu jamaa kampiga mke wake hadharani na kumdhalilisha wakati kisa kilikuwa cha kusingiziwa. Mme wake kamwomba samahani baada ya kubaini kuwa ilikuwa ni taarifa za ksingiziwa sasa huyu mama akienda polisi itakuwaje?Umbeya siyo tu kwamba ni kosa kisheria, bali kosa la JINAI
uchochezi kama sikoseiTafsiri yake ni ipi?
Swali la msingi kabisa hiliTuanze na tafsiri ya umbea kwanza.