mshamba mchangamfu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 338
- 91
Hii nchi ina mambo mengi kuanzia siasa zake, uchumi wake wa mfumuko wa bei burudani zake za fitna za kisimba na yanga na wasanii wake wenye kuishi na kujijenga kitasnia kwa kiki achilia mbali siasa kali za maofisini mwetu au biashara zetu jua linapo chomoza mpaka linazama unakuwa hoi na kichwa kimechemka sana mara nyingi watu wa kariba yangu wanapendelea kujipoza na ugimbi ktk bar zetu pendwa zile bar ambapo tarehe zikiwa dume unakunywa kwa daftari na pale kaunta kuna siti yako.
Kwenye bar yangu pendwa hii (sijawah hama bar pendwa tangu naanza ugimbi mpk leo ) nilikuwa mzee wa safari ukifika mzawa huu ulizi inakuja safar ya moto tu (mbuyu) baadae mapenz yakaamia kwa Guinness ikawa akija binti muhudum mgeni anaambiwa huyu ukimuona tu unampelekea Guinness ya mto ,bei za hii bia zikachangamka nikaona isiwe tabu nikarudisha mpira kwa makaburu wa SBL kwenye kamnyama kao chui serengeti lager.
Watu wapya wa kaunta wakawa wanaambiwa huyu yy anakunywa hii na deni lake liandiken kwenye daftar lilee (sujui hata lilikuwa daftar lipi hilo la kuwa tofauti na wadaiwa wengine) lakini uchumi bwana hususan wa mtu mmoja mmoja kama mm unaamua mengi siku hz napoonekana mm basi dada wa kaunta lazma afute EAGLE moja ya moto ..je na ww umeama bia yako pendwa?