Yawezekana ndo iliyo stahili yako ndg so amini hivyo.dah me sikupata mwongozo but ntakomaa na kozi nliochaguliwa:embarrassed1::embarrassed1:
ndoto yangu nilitaka nije nisome law wakt nachagua mwalimu wangu kaniambia law haina ajira pia mkopo utakosa achana na law watu waliosoma law wengi kaz hawana haiwezekan familia inakutegemea umalze chuo tena ukae nyumban miaka 7 mpaka 8 ukitafta kaz bac akawa amenichanganya na cjui niliaminije maneno yake, najuta mie