Mimi binafisi nimechaguliwa katika course ambayo niliifikiria hasa nikiwa form 4 na nikaamua kusoma CBG A-level ili niipate i.e BS in applied geology-udom, ni baada ya kuckia kuwa inalipa,but kipaji changu na ndoto zangu za awali kabisa ilikuwa kusomea zaidi maswala ya ufundi wa v2 vya umeme kwani ninayamudu sana hata sasa ufundi wa vitu ka cm,tv,radio na computor kidogo japo cjasomea hizo v2.
Vipi kwako imekaaje???
Vipi kwako imekaaje???