Je umefurahia ushindi wa Simba ukiwa wapi?

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Japo sisi wachambuzi hatuna timu ya kushabikia ...ila Kwa maslahi ya taifa nimefurahishwa na ushindi wa Simba ....( Wakimataifa )

Now Tanzania tumeleta heshima Kwa nchi za kusini mwa Sahara desert Kwa kupunguza Arabs domination hivyo ku maintain balance ya soccer [emoji460] ( role yetu imekua kama ya Russia)..... hivyo ligi yetu inazidi kuchanja mbuga

Binafsi nmefurahia ushindi huu nikiwa tukuyu -mbeya ....

ambapo nilikuwa meneo flani hivi ....Baada ya mnyama [emoji250] kufunga 3 za chaap Kwa furaha kubwa ...nikaondoka kibanda umiza na kukimbilia home[emoji23]

Nb: Je hii picha ya Chama hapa chini Ina reflect ukweli??[emoji116][emoji116][emoji116]

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Makolo wakikumbuka 5G na timu iliyowatumbua ipo juu kwenye msimamo wa ligi kuu, furaha yao inatumbukia nyongo🤔
 
Jana nimefurahia sana, sio ushindi wenu, bali kuingia robo fainali. Ninaipenda yanga, ila ninalipenda soka la bongo. Simba kufuzu, imetupa heshima kubwa sana nchi yetu. Timu 2 robo fainali. Raha ya soka, wababe ndani ya nchi wawe wengi.
 
Jana nimefurahi kwa ajili ya babe wangu kaka mzuri, nikiwa nyumbani kwangu huku yeye yupo safari.
Huko robo fainali kila mtu atashinda mechi zake, no more support.
 
Makolo wakikumbuka 5G na timu iliyowatumbua ipo juu kwenye msimamo wa ligi kuu, furaha yao inatumbukia nyongo🤔
Wao wanasubiri tu deni la 6-0 lilipwe, wamesubiri kwa miongo mingi lakini wapi.

Mdeni wa Simba anatamba na 5-1 huku akijifanya hajui kuwa hajalipa deni miongo na miongo.

Kuwa shabiki wa vyura yahitaji akili iyumbe kwanza 😂😂

#daimambelenyumamwiko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…