Yaah n kweli mkuu .... imagine Africa nzima ni sisi tuJana nimefurahia sana, sio ushindi wenu, bali kuingia robo fainali. Ninaipenda yanga, ila ninalipenda soka la bongo. Simba kufuzu, imetupa heshima kubwa sana nchi yetu. Timu 2 robo fainali. Raha ya soka, wababe ndani ya nchi wawe wengi.
ExactlyJana nimefurahi kwa ajili ya babe wangu kaka mzuri, nikiwa nyumbani kwangu huku yeye yupo safari.
Huko robo fainali kila mtu atashinda mechi zake, no more support.
Makolo wakikumbuka 5G na timu iliyowatumbua ipo juu kwenye msimamo wa ligi kuu, furaha yao inatumbukia nyongo🤔
[emoji23][emoji23] KwannLabani og mods walinisikia ombi langu kuwa wasikupige ban
Ushabanikwa tayari duu pole
Afadhali hatimaye Ombi lake limefanyiwa kazi.Ushabanikwa tayari duu pole