Je umegundua hili? Ni miaka 692 imepiata hadi leo

Je umegundua hili? Ni miaka 692 imepiata hadi leo

Makanyaga

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2007
Posts
11,129
Reaction score
7,321
Dears JF members;

Mwaka 2013 umetengenezwa kwa namba nne zinazofuatana ambazo ni 0, 1, 2 na 3. Mara ya mwisho namba hizi zilitengeneza jina la mwaka ilikuwa ni mwaka 1320, ambapo ni miaka 692 imepita mpaka leo.
Enjoy your day
 
TUKUTUKU Nacho kijua hapa ni hichi tu.

God says: "Lo! the likeness of Jesus with Allah is as the likeness of Adam. He created him from dust, then he said unto him: Be! and he is." (3:59)
 
TUKUTUKU Nacho kijua hapa ni hichi tu.

God says: "Lo! the likeness of Jesus with Allah is as the likeness of Adam. He created him from dust, then he said unto him: Be! and he is." (3:59)

"Na Mwenyezi Mungu Huhakikisha Haki kwa maneno Yake, hata wangalichukia wakosefu. Qur'an: Yunus:82.
 
Vipi mgalatia, funguka sie tupo humu kuwaonyesha "njia iliyonyooka"

Hii uliyofanya ndio inayojulikana kama Freudian Slip, kuongea ukweli bila kukusudia. Ukiweka quotes kwenye neno au sentensi unakuwa umewaelezea watu kuwa hiyo sentensi ukweli wake at best ni wa kutia shaka! Which means hata wewe mwenyewe una mashaka na unyoofu wa njia unayoifundisha. Njoo kwa Yesu kwenye uhakika usio na chembe ya mashaka
 
Back
Top Bottom