Je Umeisha Isoma "Asserson Report on the BBC Bias against Israel, when reporting on the Israel/Hamas War?

Je Umeisha Isoma "Asserson Report on the BBC Bias against Israel, when reporting on the Israel/Hamas War?

joex

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2011
Posts
1,598
Reaction score
1,294
Ili nisiwachoshe, naona nibora niwawekee screenshots za cover page na page nyingine mbili ambazo zinafichua

1. BBC ktk taarifa zao waliepuka kutaja kuwa kati ya waliouawa walikuwepo askari wa Hamas

2. BBC waliepuka kutaja kuwa Hamas ina wapiganaji miongoni mwao ambao ni vijana wenye umri mdogo; wakati inajulikana wazi Hamas inasaili wapiganaji watoto na kuwapa mafunzo

3. BBC hawakutolea taarifa wahanga ambao waliuawa kutokana na milipuko ya Hamas wenyewe

4. Mahojiano ambayo BBC ilifanya kwa kujua au kutokujua, mengi imebainika ilikuwa na wanachama wa Hamas au watu waliosheherekea mauaji ya October 7 kupitia mitandao yao ya kijamii

5. Click the link for a PDF copy of The Asserson Report
👇🏽
https://campaignformediastandards.org.uk/asserson-report.pdf

6.Swali la kufikirisha: je endapo tume huru ingefanya uchunguzi kama huu kwa Al Jazeera, report yake ingekuwaje?
7. Ktk hii report, analaumiwa sana mwandishi nguli wa BBC anayeitwa Jeremy Bowen
Huyu hapa:

View: https://x.com/K0sher_C0ckney/status/1823752129976414533
Screenshot_20240912-021541_Chrome.jpg
Screenshot_20240912-021716_Chrome.jpg
Screenshot_20240912-021754_Chrome.jpg
Screenshot_20240912-024309_Chrome.jpg
 
Cha msingi vita inaendea maana malengo ya Hamas ilikuwa kutafuta vita ndo maana walivamia Israel tarehe 7/10. Na sisi huku Katavi tunafurahia kuona mrejeo Al Jazeera kwa kinachoendelea Gaza. Hamas walitaka vita wapigane wasichoke watashinda Allah wao atawasaidia waongeze tu juhudi ya kuimba ule wimbo wa allahu Akbar
 

Attachments

  • 5520872-194fc953bea427ccfef7832aef21a538.mp4
    7.4 MB
Back
Top Bottom