Je, umejipanga kutumiaje Noah baada ya ACACIA (Kupitia BARRICK) kutulipa Trillion zetu?

Wewe ni mpumbavu, najivunia kukuita hivyo, kauli yangu itajitengua yenyewe kitu hii nikiikuta imehamishiwa jukwaa la jokes!
Mkuu kwani Upumbavu hapo unaingiaje. Ku'plan future?
 
akha! wakigawa itakuwa mbaya.. hebu fikiri hizo pesa/gari wagaiwe watu wote tz mtapata wapi ma house girl & boys vibarua n.k wkt wote wanamihela ha ha ha! angamizi
Si ndio za kuijia makazini
 
Kitu Noah hakitaniacha salama.

Nabet Noah yangu itageuka Bombadier
 
Oyaa vipi ile Noah yako ipo katika hali gani hapo Kanda Pendwa?

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…