Je, umekutana na ongezeko la nauli kwenda mkoani?

Je, umekutana na ongezeko la nauli kwenda mkoani?

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Wakati msimu wa safari za mwisho wa mwaka ukiwa umeanza, wananchi wa maeneo mbalimbali nchini wamekutana na uzoefu tofauti wa safari hususan kwa upande wa nauli.

Katika miaka ya karibuni, kumekuwa na tatizo la wenye mabasi na watumishi wao kupandisha nauli katika majira haya lakini kwa mwaka huu kumekuwa na maeneo ambayo nauli zimepanda huku maeneo mengine zikibaki kama kawaida.

Vipi mdau Je umekutana na ongezeko la nauli kwenda mkoani?
 
Back
Top Bottom