Daktari wa Manchester
JF-Expert Member
- Jun 1, 2020
- 350
- 403
Hebu fikiria Denis na Caroline wanataka kwenda jiji la Manchester kushuhudia mechi kati ya Chelsea na Arsenal ili waweze kuenda inabidi walipie nauli ya ndege ambayo Itasaidia kufika kule na itabidi walipie kupitia Mastercard ila kutokana na hitilafu inapelekea wote kushindwa kufanya malipo ila Caroline akatafuta njia nyingine ndio akapata na akafanikiwa
Caroline alitumia njia ya kidigitali ambayo ni (cryptocurrency) kutokana na hivyo basi Denis akapata wasaa wakimuuliza Caroline je ni namna gani cryptocurrency inafanya kwa undani zaidi
Uzi unaanza
Caroline alitumia njia ya kidigitali ambayo ni (cryptocurrency) kutokana na hivyo basi Denis akapata wasaa wakimuuliza Caroline je ni namna gani cryptocurrency inafanya kwa undani zaidi
Uzi unaanza