Mim nimechoka maisha ya upweke nataka nipate mke,tukapime nikajitambulishe kwao na kutoa posaKwa uzoefu wangu ni kuwa makini sana na uwe mtu wa kumchimba mtu mpaka umfahamu sana. Usiogope kuuliza maswali tena yale ya mtego na wakati mwingine unatumia mbinu ya kujifanyisha jambo fulani ili kupata reaction ya upande wa pili na itakufunza kama mtu anakupenda au amekuja kwako kimaslahi. Ukifanya haraka utaumizwa sana kwa kuwa kuna watu wako humu wanategeshea tu utangaze ndipo wapate upenyo wa kukutaka kimapenzi na kutokomea. Wengine watakuuliza maswali ya kipato ili waweze kukutapeli au kukutumia kama mtaji. Wengine watauliza vitu kadha wa kadha. Ukweli ni kuwa na msimamo na usiende kwa pupa kujieleza sana hasa hali yako ya kifedha, mali na kazi yako ikiwemo cheo kama unacho. Ukiwa firm baada ya muda utaona wenyewe wanajiondoa taratibu bila kufukuzwa.
Upweke unachosha,acha tupate wake tukajitambulishe kwao tuanze maishaHabari zenu wanajamvi wenzangu?
Nimeanzisha huu uzi ili kuja mafanikio ya hili jukwaa kwa watu wanaolitumia kutafuta wenzi wao, yaani wachumba, wanandoa hata rafiki wa karibu kutoka humu ndani. Kama umewahi kumpata uliyemtafuta kutoka humu JF tafadhali tujulishe ili kuwatia moyo wale wanaondelea kutafuta.
Nawatakia wakati mwema.
Jaribu na mm mkuu hakika huto jutiahumu kumejaa micharuko, kiukweli sijawahi kukutana na mtu serious ujoti tupu
We ulipata kwny mwndokasiDuhh...kwani hata kwenye basi la mwendokasi huko umekosa jamani...?? Hahah
Utakuwaje mpweke wakati wanawake kwa idadi ni wengi kuliko wanaume? Kama uko serious hakuna utapeli utanpata mke mwema tu. Ninaamini wapo kama na wewe umetulia kweli na unamaanisha.Mim nimechoka maisha ya upweke nataka nipate mke,tukapime nikajitambulishe kwao na kutoa posa
Kwa dharau tu eti Manzi basi jua utampata yule ambaye naye si mke bali ni wa maslahi. Hata kama pengine ningekuwa nahitaji mtu siwezi kuwa namtu wa lugha ya dharau kama hii. Our actions symbolize who we real are.kama kuna manzi bado anataka mume naomba anistue .
k mekupenda bure asantee.Kwa dharau tu eti Manzi basi jua utampata yule ambaye naye si mke bali ni wa maslahi. Hata kama pengine ningekuwa nahitaji mtu siwezi kuwa namtu wa lugha ya dharau kama hii. Our actions symbolize who we real are.
Mzee baba nipe updateKuna kupata kweli humu? Kuna mtu anajiita Natafuta huu kama mwaka wa tisa hivi akianza kujiita nimepata basi hapo tutajua kua kupata kumo
Nimeanza leo [emoji123]
yaani umemjibu vema mpaka nimekuona ....Kwa dharau tu eti Manzi basi jua utampata yule ambaye naye si mke bali ni wa maslahi. Hata kama pengine ningekuwa nahitaji mtu siwezi kuwa namtu wa lugha ya dharau kama hii. Our actions symbolize who we real are.
Kila la kheri. .Kwa dharau tu eti Manzi basi jua utampata yule ambaye naye si mke bali ni wa maslahi. Hata kama pengine ningekuwa nahitaji mtu siwezi kuwa namtu wa lugha ya dharau kama hii. Our actions symbolize who we real are.