Je, umemsave vipi kwenye simu mwenzi/mpenzi wako?

malisak

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2006
Posts
694
Reaction score
775
Najaribu kuwaza nakosa majibu sahihi, ni kitu gani kinapeleka wanaume kusave wanawake zao majina ya kiume kwenye simu na wanawake pia halikadhalika.

Kwani hata kama mnachepukiana si usave jina lake tu halisi badala ya kuweka majina maalum ya kuonesha uhusiano wenu? kama babe, honey, sweetiee n.k. si msave tu JUMA, JOSE, TINA au MWAJUMA?

Kila nikitafakari nakosa mantiki ya watu kufanya hivyo. Je, siku ukigundua mpenzi wako amekusave tofauti kwenye simu utajisikia na kumuelewaje?
 
Mke wngu alinisevu mume wng kipenzi 1 2 3 laini zangu zote 3 nowdays nimekuta amesevu jina langu na baba fulani
KWa ninavyojua mimi maanyingi mwanamke kabla hajazaa anakuwa na mahaba ya ajabu sana hata akishazaa pia ila siku ukikosea kidogo tu ushakuwa disqualified na jina litabadilishwa na mapenzi wanayahamishia kwa watoto ingawa muda mwengine huhamisha tu mapenzi automatic au anajisikia vizuri kukuita baba fulani pia so hauko mkinga
 
Daaah hata huyo mpenzi mwenyewe yupo sasa[emoji2][emoji2]
Ngoja nikae pande hii nione wenye wapenzi wao[emoji28]

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ Mimi ninae ila kwa kujifunza wnaayopitia wengine mimi sitamani kujua nilivyohifadhiwa usikute ni fundi genereta
 
Umenikumbusha niliona siku moja simu ya dada mmoja eti kasave jina la mwanaume Kishkwambi,nikasema nyie wanawake hebu tuhurumieni saa zingine...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…