Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Mtandao gani huo?Tena ninayebweka "wu wu wu"
Kuomba radhi bila kufidia vifurushi vyetu vilivyoteketa bila kutumika, ni wizi tu.
Tigo hao mda wot wanatuma msg tuu za kuomba radhiBaafhi ya kampuni zimekuwa zikiwatumia wateja ujumbe kuwajulisha tatizo la umeme. Nadhani ni suala la kiuungwana sana. Mimi nimetumiwa ujumbe na kampuni ya mawasiliano ninayotumia, na kuna huduma nyingine nimetumiwa ujumbe pia.
Kwa kweli nimejisikia faraja. Je umepata ujumbe wa huduma yoyote unayoitumia kuhusu tatizo lililopo au wamekuona mbwa mmoja hustahili kuambiwa. Share screenshot.
View attachment 2989664
Mimi Vodacom bado hawajatuma. Najaribu kununua Online AliExpress nashindwa. Napata Tu msg ya oops no internet 🙆🙆Baafhi ya kampuni zimekuwa zikiwatumia wateja ujumbe kuwajulisha tatizo la umeme. Nadhani ni suala la kiuungwana sana. Mimi nimetumiwa ujumbe na kampuni ya mawasiliano ninayotumia, na kuna huduma nyingine nimetumiwa ujumbe pia.
Kwa kweli nimejisikia faraja. Je umepata ujumbe wa huduma yoyote unayoitumia kuhusu tatizo lililopo au wamekuona mbwa mmoja hustahili kuambiwa. Share screenshot.
View attachment 2989664