Je Umeridhika na kozi/chuo ulichochaguliwa ?!

beneli

Member
Joined
May 1, 2013
Posts
86
Reaction score
7
Baada ya heka heka , kukosa usingizi na wasiwasi wa muda mrefu, wanafunzi wenye vigezo vya ufaulu kidato cha sita na diploma wamepata matokeo ya vyuo pamoja na kozi walizozichagua, wote twajua kuwa kuna machaguo takribani matano wakati wa kufanya uchaguzi wa kozi, kuna zile kozi na vyuo ambavyo ni vya kujazia tu na zile ambazo ni kozi na vyuo ambazo ziko moyoni kabisa mara nyingi huwa chaguo la kwanza, swali langu kwa wanachuo watarajiwa ni Je ? Umependa kozi uliyochaguliwa na chuo husika ? Kama ikitokea umepata nafasi ya kubadilisha ,Je ? Utabadilisha kozi yako tu na kubaki katika chuo hiko hiko ? Ama utabadilisha chuo tu na kubaki kozi hiyo hiyo ? Au utahama chuo na kozi ? Kuwa huru kusema chuo na kozi ambayo ungependa uwe.Karibuni
 
MD nakupenda MD unanipenda BUGANDO MD1 hapo
 
Bsc in geomatics..nilikua na ndoto tokea olevel ya kusoma land survey..namshukuru mungu nimepata na ilikua my first choice..!!mungu anisaidie niweze kumaliza salama inshallah
 
Bsc in geomatics..nilikua na ndoto tokea olevel ya kusoma land survey..namshukuru mungu nimepata na ilikua my first choice..!!mungu anisaidie niweze kumaliza salama inshallah

hongera, inaelekea ulikua unajua unaelekea wapi tokea o level...wengine walishapoteza ramani tokea shule ya msingi..
 
aise chaguo langu la kwanza na ndoto zangu ni BAF BS MZUMBE UNIVERSITY.NA NIMECHAGULIWA,BADO MSC ECONOMICS.
 
aise chaguo langu la kwanza na ndoto zangu ni BAF BS MZUMBE UNIVERSITY.NA NIMECHAGULIWA,BADO MSC ECONOMICS.

we mkali ! Wengine hapa akili yote kwenye boom ! We akili kwenye masters !safi !
 
Ahsante kwa uzi mzuri mkuu, Binafsi sikuwahi kuwaza cku moja ntaitafuta nafac ya kufanya baed udsm lakin ilinbidi kuhangaika sana kuipata baada ya ramani yangu kupotea 2010, nashukuru Mungu nliichora upya, napenda pia wewe ulopata kile ambacho umepata usiumie moyo bali mshukuru Mungu wako, uridhike na uwe tayari kutumika ktk kada husika kwa sababu maisha ni zaidi ya tunavyoyaona. Kumbuka kuwa maisha yataendelea hata baada ya degree ya kwanza na tunao muda wa kukamata opportunity nyingine. Kila la kheri kwa mwaka wa kwanza wote wa Vyuo Vikuu Tanzania.
 
hongera kwa kuchora ramani mpya ,wengi wanasahau wanachotaka na kuishia kufanya chochote kilicho mbele yake.
 
NILIOMBA1. Beng CIVIL DIT
2. Beng Electronics and telecomminication DIT

Wamenichagua. Beng Electronics & Telecom hapo DIT
Sio mbaya coz zote kwangu poa tu ni ndoto zangu kuwa field Engineer
 
Me ni hapana cjaridhika

hatakama ujapenda lakini kwa matokeo yako uliyopata 4m 6 hutapenda tu eti umepata E E S Halafu huna taka kuwa member wa uDsM watakucheka watu we paki na TeKu yako pole
 
hatakama ujapenda lakini kwa matokeo yako uliyopata 4m 6 hutapenda tu eti umepata E E S Halafu huna taka kuwa member wa uDsM watakucheka watu we paki na TeKu yako pole

oil sumu , wewe ulipata EES ?
 
Jaman ila vyote c vyuo au chuo kitakuajili
 
hongera, inaelekea ulikua unajua unaelekea wapi tokea o level...wengine walishapoteza ramani tokea shule ya msingi..

aise mkuu tangu o level.thanx God,tuombe mungu bodi ya mikopo tuambulie maana ada majanga
 
hatakama ujapenda lakini kwa matokeo yako uliyopata 4m 6 hutapenda tu eti umepata E E S Halafu huna taka kuwa member wa uDsM watakucheka watu we paki na TeKu yako pole

Dogo angalia katika selection za udsm mwaka huu..computer science na baadhi ya course pale COET wamechukua hadi point 2..watu wana EEF wamepata..huko mkwawa point3 kibao..acha kupotosha jamii..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…