Je Umeridhika na kozi/chuo ulichochaguliwa ?!

Je Umeridhika na kozi/chuo ulichochaguliwa ?!

Sijawahi kuwa na ndoto ya kuwa petroleum technologist nilikua napenda sana pharmacy,lakini mara baada ya kugundulika kuwepo kwa mafuta na ges TZ wakati hakuna wataalamu wa hiyo fani,nikaamuwa kwa moyo m1 kujikita huko ili niikomboe jamii ya kitanzania...nikaijaza chaguo la kwanza na pharmacy chaguo la pili... wamenitupa petroleum chemistry udsm,am on ma way to serve our poor nation

I need to ask you cobber hivi kuna tofauti gani kati ya petroleum chemistry ya hapo kwenu udsm na petroleum engineering ya udom coz nina wasi na ndotozo with regard to faculty you're going to take.
 
vyenye majina ya watakatifu vimezidi khaa! Yaan yuko dogo ana E E F wamemchukua! Hawaachi k2! Mpigamsuli & oilsumu wkt mwingine wako sawa kuviponda hivi vyuo.

Anzisheni vyenu na nyie vitukuu wa mtume muite majina ya wafie dini wenu, wakati mwingine huwa nawashangaa sana mbona mkichaguliwa kwenye hivyo mnaenda tena mnasoma kwa ada nafuu na wamewajengea mpaka misikiti acha unafiki kijana.
 
Me nilikipenda udom toka kinaanzishwa...na nimepangiwa huko..
 
Kama kozi yako ipo kwenye zile big 5, 1.engineering 2.law 3.medicine 4.architecture 5.accounting&finance, ndio uridhike nayo hio kozi
 
hongera kwa kuchora ramani mpya ,wengi wanasahau wanachotaka na kuishia kufanya chochote kilicho mbele yake.
Ahsante mkuu! nafahamu "where there is determination, gentlemen can make wonders" wewe mweka thread na mimi nliyeitazama kwa upana tunayo zaidi ya haya tunayoyaandika na cha msingi tuitake jamii ya kiuniversity 1st yr ambao vichwa vimeshika moto sasa kwa kupata wasichotamani watulie na waone ni challenge ambayo wanayo na waikubali. Wavae moyo na hisia za gentlemen, wadetermine. They will surely make wonder.
 
kiukweli nimechagulia course ambayo ilikuwa chaguo langu la tatu bt nayo ni nzuri n chuo kizuri pia so inanipa hamu nikasome
 
Ahsante kwa uzi mzuri mkuu, Binafsi sikuwahi kuwaza cku moja ntaitafuta nafac ya kufanya baed udsm lakin ilinbidi kuhangaika sana kuipata baada ya ramani yangu kupotea 2010, nashukuru Mungu nliichora upya, napenda pia wewe ulopata kile ambacho umepata usiumie moyo bali mshukuru Mungu wako, uridhike na uwe tayari kutumika ktk kada husika kwa sababu maisha ni zaidi ya tunavyoyaona. Kumbuka kuwa maisha yataendelea hata baada ya degree ya kwanza na tunao muda wa kukamata opportunity nyingine. Kila la kheri kwa mwaka wa kwanza wote wa Vyuo Vikuu Tanzania.

hakika ww wasema,thanx
 
Nimechagulia computer science pale ifm ila naitaka banking n finance palepaje ifm.
 
Kama kozi yako ipo kwenye zile big 5, 1.engineering 2.law 3.medicine 4.architecture 5.accounting&finance, ndio uridhike nayo hio kozi

acha kujishaua bro! kwahiyo katika hizo kama hakuna hata moja nnayoipenda inakuwaje? mi nimeridhika na niliyochaguliwa na ndo ninayoipenda! we umechaguliwa ipi?
 
acha kujishaua bro! kwahiyo katika hizo kama hakuna hata moja nnayoipenda inakuwaje? mi nimeridhika na niliyochaguliwa na ndo ninayoipenda! we umechaguliwa ipi?

Mimi nipo Masters ya Law
 
Mimi nipo Masters ya Law

point of correction..! Hivi ile procurement and marketing ya ushirikaa umeiacha wap? Mpaka uwe unasoma masters ya law...?
onyO ; citaki malumbano! Overr
 
Last edited by a moderator:
point of correction..! Hivi ile procurement and marketing ya ushirikaa umeiacha wap? Mpaka uwe unasoma masters ya law...?
onyO ; citaki malumbano! Overr

teh! teh! teh! nimelipenda onyo!
 
Last edited by a moderator:
wamenipeleka science with education udsm yan wameniharhia future yangu ya kuwa docta ila cjui nibadilshe plz naomben ushaur wenu wadau
 
Back
Top Bottom