JOSEPH SAKI
Senior Member
- Jun 28, 2013
- 110
- 16
Sijawahi kuwa na ndoto ya kuwa petroleum technologist nilikua napenda sana pharmacy,lakini mara baada ya kugundulika kuwepo kwa mafuta na ges TZ wakati hakuna wataalamu wa hiyo fani,nikaamuwa kwa moyo m1 kujikita huko ili niikomboe jamii ya kitanzania...nikaijaza chaguo la kwanza na pharmacy chaguo la pili... wamenitupa petroleum chemistry udsm,am on ma way to serve our poor nation
I need to ask you cobber hivi kuna tofauti gani kati ya petroleum chemistry ya hapo kwenu udsm na petroleum engineering ya udom coz nina wasi na ndotozo with regard to faculty you're going to take.