Je Umeridhika na kozi/chuo ulichochaguliwa ?!

Dogo angalia katika selection za udsm mwaka huu..computer science na baadhi ya course pale COET wamechukua hadi point 2..watu wana EEF wamepata..huko mkwawa point3 kibao..acha kupotosha jamii..

hakuna mtu wa art mwenye point chini ya 5.0 hakapata udsm!
 
mko poa wapendwa? mi mwenzenu nimeridhika na nilichopata! oil sumu usiniponde please!
 
Sijawahi kuwa na ndoto ya kuwa petroleum technologist nilikua napenda sana pharmacy,lakini mara baada ya kugundulika kuwepo kwa mafuta na ges TZ wakati hakuna wataalamu wa hiyo fani,nikaamuwa kwa moyo m1 kujikita huko ili niikomboe jamii ya kitanzania...nikaijaza chaguo la kwanza na pharmacy chaguo la pili... wamenitupa petroleum chemistry udsm,am on ma way to serve our poor nation
 
Jaman ila vyote c vyuo au chuo kitakuajili
vyenye majina ya watakatifu vimezidi khaa! Yaan yuko dogo ana E E F wamemchukua! Hawaachi k2! Mpigamsuli & oilsumu wkt mwingine wako sawa kuviponda hivi vyuo.
 
Jaman ila vyote c vyuo au chuo kitakuajili
vyenye majina ya watakatifu vimezidi khaa! Yaan yuko dogo ana E E F wamemchukua! Hawaachi k2! Mpigamsuli & oilsumu wkt mwingine wako sawa kuviponda hivi vyuo.
 
me namshukuru mungu kwa kuniwezesha kupata kile ambacho kilikuwa ndotoni kwangu(insurance n risk management)
 
Ngoja muingie chuo,test ya kwanza una 1/20,ndo viherehere vitawaisha!
 
ardhi naipenda since 2011 naingia advance..! Thanks God nimepata paleee building economics(quantity surveyor)!! Overr
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…