D dennis dessiny New Member Joined Aug 13, 2013 Posts 3 Reaction score 1 Sep 13, 2013 #101 Kazi zake ni zipi?,,,, yaani hio coz ina soko?
Idd Omary JF-Expert Member Joined Aug 11, 2013 Posts 250 Reaction score 37 Sep 13, 2013 #102 Mbona kaka mnadiscuss tena hiyo stac au mmenogewa. Hiyo coz niaje??
beneli Member Joined May 1, 2013 Posts 86 Reaction score 7 Sep 25, 2013 Thread starter #103 Idd Omary said: Mbona kaka mnadiscuss tena hiyo stac au mmenogewa. Hiyo coz niaje?? Click to expand... takwimu ni nzur hasa kwa serikali na taasis binafsi zinazojihusisha na tafiti za hali ya jamii kwa ujumla.(demographic details)kama sikosei, wenye uelewa zaidi watanirekebisha..
Idd Omary said: Mbona kaka mnadiscuss tena hiyo stac au mmenogewa. Hiyo coz niaje?? Click to expand... takwimu ni nzur hasa kwa serikali na taasis binafsi zinazojihusisha na tafiti za hali ya jamii kwa ujumla.(demographic details)kama sikosei, wenye uelewa zaidi watanirekebisha..