Je Umeridhika na kozi/chuo ulichochaguliwa ?!

Je Umeridhika na kozi/chuo ulichochaguliwa ?!

Mbona kaka mnadiscuss tena hiyo stac au mmenogewa. Hiyo coz niaje??
 
Mbona kaka mnadiscuss tena hiyo stac au mmenogewa. Hiyo coz niaje??

takwimu ni nzur hasa kwa serikali na taasis binafsi zinazojihusisha na tafiti za hali ya jamii kwa ujumla.(demographic details)kama sikosei, wenye uelewa zaidi watanirekebisha..
 
Back
Top Bottom