Je umesahau password yako

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
620
Reaction score
1,240
๐—จ๐—บ๐—ฒ๐˜€๐—ฎ๐—ต๐—ฎ๐˜‚ ๐—ฝ๐—ฎ๐˜€๐˜€๐˜„๐—ผ๐—ฟ๐—ฑ ๐˜†๐—ฎ๐—ธ๐—ผ



Najua Kuna wakati unakuta umejiunga sehemu mbalimbali kwenye platform tofauti tofauti ukajikuta umesahau password zako ulizojiungia.

Kwaiyo ndo mpaka nifanye kazi ya kubonyeza sehemu ya Forget password? ๐Ÿค” hapana sio muhimu Tena kwenye simu yako unaweza kuzipata password zako zote ulizojiungia kwenye mitandaoni mbalimbali.



Najua wengi hawaamini ๐Ÿ˜....๐Ÿƒโ€โ™‚๏ธ Bhana okay si unatumia Google chrome โœ… kwenye Google chrome Kuna kitu kinaitwa "Google password manager" hii ni feature ambayo inakusaidia kupata password zako zote ulizowahi kujiunga kwenye platform mbalimbali na kuzisahau.

Feature hii utunza kumbukumbu ambazo zitakusaidia kupunguza kubonyeza forget password Kila mara pale unaposahau password zako unafanyaje ๐Ÿ‘‡

โ€ข fungua Google chrome kwenye simu au kompyuta yako
โ€ข ingia kwenye setting ya Google chrome


โ€ข tafuta Google password Manager


โ€ข fungua tafuta platform ambayo umesahau password yake utaweza kuziona na kutumia password zako mfano Facebook, Instagram, TikTok, Google email nk.





Vipi umefanikiwa kuzipata password zako tuachie maoni yako ?? Tags washikaji tujifunze sote si unajua teknolojia ni Yetu Sote.

#bongotech255 #googletips #Fahamu #passwordtips #password
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ