Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 620
- 1,240
๐จ๐บ๐ฒ๐๐ฎ๐ต๐ฎ๐ ๐ฝ๐ฎ๐๐๐๐ผ๐ฟ๐ฑ ๐๐ฎ๐ธ๐ผ
Najua Kuna wakati unakuta umejiunga sehemu mbalimbali kwenye platform tofauti tofauti ukajikuta umesahau password zako ulizojiungia.
Kwaiyo ndo mpaka nifanye kazi ya kubonyeza sehemu ya Forget password? ๐ค hapana sio muhimu Tena kwenye simu yako unaweza kuzipata password zako zote ulizojiungia kwenye mitandaoni mbalimbali.
Najua wengi hawaamini ๐....๐โโ๏ธ Bhana okay si unatumia Google chrome โ kwenye Google chrome Kuna kitu kinaitwa "Google password manager" hii ni feature ambayo inakusaidia kupata password zako zote ulizowahi kujiunga kwenye platform mbalimbali na kuzisahau.
Feature hii utunza kumbukumbu ambazo zitakusaidia kupunguza kubonyeza forget password Kila mara pale unaposahau password zako unafanyaje ๐
โข fungua Google chrome kwenye simu au kompyuta yako
โข ingia kwenye setting ya Google chrome
โข tafuta Google password Manager
โข fungua tafuta platform ambayo umesahau password yake utaweza kuziona na kutumia password zako mfano Facebook, Instagram, TikTok, Google email nk.
Vipi umefanikiwa kuzipata password zako tuachie maoni yako ?? Tags washikaji tujifunze sote si unajua teknolojia ni Yetu Sote.
#bongotech255 #googletips #Fahamu #passwordtips #password