Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,976
- 13,434
- Thread starter
-
- #41
poleni sana kina mama.Kwa wanawake kuhisiwa vibaya ni kama jambo lisilo geni....
"Mara umeiba mume wa mtu"
"Mara umetoka na boss"
Maneno chungu mzima, kabla sijajitambua nilikuwa naumia sana ila baada ya kujitambua....aaaaah naona kama ndo maisha!
Kuhisiwa ni jambo
linalokera sana..my hubby alikua anahisi ninatoka na mtu mwingine(kumbe
ni anko)....baada ya kubeba mimba akaanza tena kuhisi sio ya
kwake..kilichofuata mtoto alizaliwa kafanana na Hubby kama
phocotopy.....
poleni sana kina mama.
Nalog off
pole sana.kwanini hukumtambulisha kwa anko wako?
Nalog off
hii kitu inauma sana,umeshamtangazia mtu ubaya ina maana umemchafua,sasa kukusafisha linakuwa swala moja zito sana kwa kuwa sio wengi watakaojua ya kuwa wewe ulionewa.Pole sana zumbemkuu.hayo mambo ya kawaida sana, mie hadi polisi nilishawahi kupelekwa wakati nipo primaly, na hata ukubwani mengi yalitokea, sio ya kuiba tu, story zinapita mtaani kwakuhisiwa jambo ambalo hata hulifahamu, unakuja kujua siku, miezi au miaka ikipita na hasa kama ikijulikana umesingiziwa ndo utaanza kuambiwa na wanafiki waliokuwa wanajua ila hawakwambii.
pamoja sana kina mama wote duniani.Tunakushukuru mkuu.....
Ila tunashukuru kwamba shem wetu alielewa.alikua anafahamu tu kwamba yupo ila hakuwahi kumuona..afu my anko ni mtu wa masihara ata akipiga simu anapenda kuita baby,,mumii etc akituma sms hivohivo hapo ndo Hubby alipojenga hisia tofauti