Je umeshawahi kusikia stori ya kuku aliyeishi miaka miwili bila kichwa?

Je umeshawahi kusikia stori ya kuku aliyeishi miaka miwili bila kichwa?

Kwahiyo nini kilimuweka hai kwa 2 yrs pia naimajin maumivu yake
 
Chai hii
Mimi nakumbuka kipindi niko primary ugweno ilitokea kitu cha ajabu sana.
Ile shule ilikuwa haiishi vioja kila siku!
asubuhi moja tumewahi namba shuleni ghafla tukajikuta shule tuko3 tu.ilikuwa saa12:00asbh.
Tumekaa tunamsubiri kiranja aje atupe namba...kustaajabu tunaona kicha cha kuku kimechomekwa kwenye kijiti huku vinatembeaa aahh tulifunguka balaa!
Kuna mbibi huyo alikuwa anapika bajia ye akiwa anapika paka wake ndo anahudumia ukimpa sh5 anachoma bajia na spoku anakupa..si tuliona ni kawaida na tulizoea.
 
Ina maana shingo yake haikuwa na mishipa mikuba wa damu?
Na inakuwaje asurvive bila ubongo..
Hii ni chai ya rangi wallah[emoji3]
 
Back
Top Bottom