Mimi nakumbuka kipindi niko primary ugweno ilitokea kitu cha ajabu sana.
Ile shule ilikuwa haiishi vioja kila siku!
asubuhi moja tumewahi namba shuleni ghafla tukajikuta shule tuko3 tu.ilikuwa saa12:00asbh.
Tumekaa tunamsubiri kiranja aje atupe namba...kustaajabu tunaona kicha cha kuku kimechomekwa kwenye kijiti huku vinatembeaa aahh tulifunguka balaa!
Kuna mbibi huyo alikuwa anapika bajia ye akiwa anapika paka wake ndo anahudumia ukimpa sh5 anachoma bajia na spoku anakupa..si tuliona ni kawaida na tulizoea.