Je, umeshawahi kusoma hiki kitabu Psychology of intelligence analysis?

Je, umeshawahi kusoma hiki kitabu Psychology of intelligence analysis?

Asante mkuu....kma kuna vngne letaa mana wakati simu haina bundle ntakuwa napitia pitia
 
mkuu cerengeti hicho kitabu kimetafsiriwa kwa kiswaili na kama kmetafsiriwa tuwekee tukipakue maana sio wore wanajuwa kengereza.
 
Last edited by a moderator:
Je, umeshawahi kusoma hiki kitabu Psychology of intelligence analysis..
Psychology of Intelligence Analysis

By Richards J. Heuer, Jr.

a59d1521-7496-462c-8214-c255f208475b.jpeg


Table of Contents



Pakua hapa

Pia hapa: http://bookzz.org/book/1186322/11a485
 
Mungu akuinue mkuu.

Mh mkuu nilitaka kusema kama wewe ila baadhi ya watu humu hawachelewi kukwambia Mungu ndo kitu gani? kina Jimena, so asije akawa na yeye ni mtu wa hivyo akakukataa.hata hivyo Naenjoy kitabu.
 
Last edited by a moderator:
Tutafsirie hicho kitabu kwa kiswaili afu tupakue I can't an Englishman.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom