Mnandi Jr
Member
- May 30, 2026
- 78
- 119
Salam kwenu jukwaani, nimekua nje ya jf kwa muda kidogo kiasi cha kupakumbuka mno! Kiukweli
""Nimepakumbuka JF.""
ijapokua nimekua nje kwa muda sitoondoka bila kuacha neno.
je umewahi kufikiria juu ya uwezo mkuu uliondani yako? Je kuna mtu alishawahi kukwambia kua kila unaloliwaza juu yako linawezekana? Naam! Natamani tulizungumzie hili leo!
Nimegundua siri kubwa iliyo ya wazi juu ya uwezo mkuu wa binadamu.
Kabla sijaendelea sana, nikualike kuchangia uelewa wako juu ya hili tutakalozungumzia..
AMANI IWE NANYI..