duuuh, sasa kabla hujaendelea sana unatualika sisi tuzungumze kwani sisi ndio tumeanzisha uzi?Salam kwenu jukwaani, nimekua nje ya jf kwa muda kidogo kiasi cha kupakumbuka mno! Kiukweli
""Nimepakumbuka JF.""
ijapokua nimekua nje kwa muda sitoondoka bila kuacha neno.
je umewahi kufikiria juu ya uwezo mkuu uliondani yako? Je kuna mtu alishawahi kukwambia kua kila unaloliwaza juu yako linawezekana? Naam! Natamani tulizungumzie hili leo!
Nimegundua siri kubwa iliyo ya wazi juu ya uwezo mkuu wa binadamu.
Kabla sijaendelea sana, nikualike kuchangia uelewa wako juu ya hili tutakalozungumzia..
AMANI IWE NANYI..
tuambie kwanza mawazo yako wewe uliyeanzisha uzi, yaani unaanzisha uzi hujasema chochote unataka sisi tuchangie...Kushirikisha mawazo ya watu wengine ni kutaka kufahamu kua watu wanauelewa kias gan juu ya hiyo mada
Ukiijua vizuri "THE LAW OF ATTRACTION" hilo unalolisema linawezekanaduuuh, sasa kabla hujaendelea sana unatualika sisi tuzungumze kwani sisi ndio tumeanzisha uzi?
naelewa but ukianzisha kitu elezea uelewa wako wewe kwanza then ndio ukaribishe wengine kuchangiaUkiijua vizuri "THE LAW OF ATTRACTION" hilo unalolisema linawezekana
Kwenye uzi mwingine?Nitalielezea hili vizuri zaidi tena kwa kina sana kwahiyo ondoa shaka mkuu.
akishachukua "madini" ya watu wengine yeye anaenda ku ya compile..... πKwenye uzi mwingine?
Mada nzuri be blessed mkuu!Salam kwenu jukwaani, nimekua nje ya jf kwa muda kidogo kiasi cha kupakumbuka mno! Kiukweli
""Nimepakumbuka JF.""
ijapokua nimekua nje kwa muda sitoondoka bila kuacha neno.
je umewahi kufikiria juu ya uwezo mkuu uliondani yako? Je kuna mtu alishawahi kukwambia kua kila unaloliwaza juu yako linawezekana? Naam! Natamani tulizungumzie hili leo!
Nimegundua siri kubwa iliyo ya wazi juu ya uwezo mkuu wa binadamu.
Kabla sijaendelea sana, nikualike kuchangia uelewa wako juu ya hili tutakalozungumzia..
AMANI IWE NANYI..
Elezea sasa ili tujue kwa hakika umelenga katika hali ipi siyo unaanzisha kitu ambacho kumbe hata wewe bado unahitaji kupewa uelewa mpana we tuelezee hapa .Nitalielezea hili vizuri zaidi tena kwa kina sana kwahiyo ondoa shaka mkuu.
NAONA KAMA JF IMEANZA KUHUJUMIWA NA WAHUNI WA SA100 ..KWA KULETA MSULULU WA NYUZI ZA KIANITHI ANITHISalam kwenu jukwaani, nimekua nje ya jf kwa muda kidogo kiasi cha kupakumbuka mno! Kiukweli