Je,umewahi kuhudhuria vigodoro

jana tu nmeluka na wanangu ndan ya mikwambe kwa fund baskel.radhi ya maana
 
Jana tu tumetoka kusheherekea vigodoro pande Za Msewe.
 
Nilikua nasoma galanos-Tanga nilihudhuria vigodoro vya Nguvumali,kisosora na mwamboni
 
Kwani hiv vigoro ni vya wakubwa au vya watoto pia vya kampuni gani Comfy , Banco au Dodoma?
 

Yaaalaaahhh... Mie huku Tandahimba siyafahamu hayo!!!
 
Ndio nini??

ritungu le kizaramo!

hahahahaaa!!! these guys rock, wanajichanganya watoto kwa watu wazima, usiki usiku kuanzia saa nne kitu kinapigwa mpaka majogoo!!

asikwambie mtu, hapo watoto wa kike na wamama watu wazima wanachapika balaa!

30,000watts speakers ndo huoperate ku-support event nzima! just music for fun!

zaramo tradition...
 

thanks 4 clarification
 
thanks 4 clarification

ahsante mkuu... ila naomba please ubadili ID yako! tafadhali rafiki yangu naomba unisikilize..

its for your own sake and reputation and respect...

please mkuu! incase hujui namna ya kubadili id niambie nikusaidie kukuunga kwa mkulu invisible.
 
morogoro jaman ni shidaaa vigodoro vna mengi sana nikastuka kuwaona mashoga kwa mara ya kwanza halafu wana umri mdogo jaman niliumia sana
 
Huyu mletamada ni kweli anaitwa doggy ?
Au mi ndiyo nime ovaluku ?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…