hussein boxer
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 831
- 335
nilishawahi kuhudhuria huko chalinze ni burudani sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbwa tuambie ulionana na raisi mbona hutupi majibu
Ni rusha roho za mitaani zinajulikana kama vigodoro hasa pale wanapomtoa mwali au siku mtoto mchanga anapotoka nje mziki hupigwa mpaka kuna kucha hii huwasaidia wale wasio na pa kulala maana hukesha huko na huwa habari njema kwa machangudoa wa bei rahisi kuanzia buku tano kushuka chini maana hupata wateja kirahisi, ni hayo tu
Hizo rusha roho ni maarufu sana mikoa ya pwani kama tanga, dar,ntwara na pwani yenyeweYaaalaaahhh... Mie huku Tandahimba siyafahamu hayo!!!
Nilikua nasoma galanos-Tanga nilihudhuria vigodoro vya Nguvumali,kisosora na mwamboni
Ndio nini??
ritungu le kizaramo!
hahahahaaa!!! these guys rock, wanajichanganya watoto kwa watu wazima, usiki usiku kuanzia saa nne kitu kinapigwa mpaka majogoo!!
asikwambie mtu, hapo watoto wa kike na wamama watu wazima wanachapika balaa!
30,000watts speakers ndo huoperate ku-support event nzima! just music for fun!
zaramo tradition...
thanks 4 clarification
Yaaalaaahhh... Mie huku Tandahimba siyafahamu hayo!!!