Je,umewahi kuhudhuria vigodoro

Aiseee pale wakina mama wanapokata nyonga huwa balaaaa wanafika mahari wanamwaga radhi usiombe kikawa kigoro cha wamakonde mbona utajipigia bao maana ni balaa kwa mauno

Hahaha. Mkuu inaelekea we hukosi hii kitu!
 
aaaaa vigodoro sisi wengine tunavisikia2 wazaz wetu wachungaj utatoka wap
 
Hahaha. Mkuu inaelekea we hukosi hii kitu!
Nilikuwa nahudhuria nilipokuwa chuo,wale wanawake huwa waakuwa wametupiamo maana fulu kuonyesha vyupi nje nje wengne hawavai kabsa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…