M.E.M.A
JF-Expert Member
- Jul 27, 2013
- 1,373
- 472
Aiseee pale wakina mama wanapokata nyonga huwa balaaaa wanafika mahari wanamwaga radhi usiombe kikawa kigoro cha wamakonde mbona utajipigia bao maana ni balaa kwa mauno
Hahaha. Mkuu inaelekea we hukosi hii kitu!