Je,umewahi kuhudhuria vigodoro

Je,umewahi kuhudhuria vigodoro

Lugano5

R I P
Joined
Jul 15, 2010
Posts
4,520
Reaction score
757
Ebu tupia event ambayo hutaisau siku ulipo shuhudiah...na ulikuwa mkoa gani?
 
Dah,mie navikubali sana ni burudani niipendayo maishani
 
Ndio nini??
Ni rusha roho za mitaani zinajulikana kama vigodoro hasa pale wanapomtoa mwali au siku mtoto mchanga anapotoka nje mziki hupigwa mpaka kuna kucha hii huwasaidia wale wasio na pa kulala maana hukesha huko na huwa habari njema kwa machangudoa wa bei rahisi kuanzia buku tano kushuka chini maana hupata wateja kirahisi, ni hayo tu
 
Aiseee pale wakina mama wanapokata nyonga huwa balaaaa wanafika mahari wanamwaga radhi usiombe kikawa kigoro cha wamakonde mbona utajipigia bao maana ni balaa kwa mauno
 
vigodoro! vikoje Mbwa ?
 
Last edited by a moderator:
We Mbwa ulisema unaonana na Raisi lini??
 
Last edited by a moderator:
vigodoro mhhhh, jina zuri. nadhani pia kutakuwa na vi-mto. back to topic, hizi ngoma za kumtoa mwali binafsi nimezishuhudia. nilikulia sehemu ambayo nusu ya mtaa wote ni wazaramo so nilikuwa naziona. wanakesha kama CNN
 
Cha dog karbu chalinze sie kila ijumaa vigodoro vya kumwaga si unajua mambo ya wakwere?
 
Tanga sirudi tena

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
 
Mbwa tuambie ulionana na raisi mbona hutupi majibu
 
Last edited by a moderator:
keko tolori, ikifika usiku sana inafikia hatua vidada vinacheza uchi
 
USEMA UKWEL NAI ENJOY KIGODORO KULIKO CLUB YA KIGODORO KINA RAHA YAKE HASA MSAGA SUMU AKIANZA KUNOGESHa au MC DULA MAMBO YA ...♬♬♬KUMBE UNANiPENDA UNAFANYA MAKUSIDI♬♬ asikuambie mtu kigodoro raha.....
 
UKITAKA KUJUA RAHA YA KIGODORO ZUNGUKA USIKU MAENEO YA MAMZESE,TANDALE,MBURAHATI,MABIBO,TEMEKE,MBAGALA CHARAMBE.....YAN UKIZUNGUKA KUANZIA ALHAMISI .IJUMAA.JMOSI NA JUMA PILI KWENYE MAENEO HAYO HUKOSI KIGODORO...MIXA WATOTO WA MBWA.. YAN BANGI GONGO VYOYE UNAPATA....HADI WAREMBO MABUNDI UNAPATA TENA KWA BEI MCHEBWEDA....♬♬♬ cheza makapelo kufunika ..nimekuja washika...cheza makapelo kufunika nimekuja kuwashika...mwendo wa...mwendo wakinyonga♬♬♬MC DULA HUYO HAHAH RAHA SANA
 
Back
Top Bottom