Je,umewahi kuhudhuria vigodoro

Je,umewahi kuhudhuria vigodoro

Huyu mletamada ni kweli anaitwa doggy ?
Au mi ndiyo nime ovaluku ?
Hivyo vigodoro vyenu endeleeni kuvisimulia , mi ntasubiri akileta mada ya kitanda .
 
Last edited by a moderator:
Vigodoro mi nilidhani ni pad maana nikiwa basoma xile pad za kike tulikuwa twaziita kigodoro
 
Vigodoro mi nilidhani ni pad maana nikiwa basoma xile pad za kike tulikuwa twaziita kigodoro

Shemeji mamboo! Kwani shem ungesema tu "pad" si ingetosha mpaka useme "pad za kike"?
Kwani wana wa kiume nao wana pad zao?
 
One day niliibia kuona hayo makitu kupitia kwa window hapa home. Huwezi tazama ni mama makubwa big wanavaa dira wanakatika as wako bed huku wamelala chini Mmmmm hakifai.
 
One day niliibia kuona hayo makitu kupitia kwa window hapa home. Huwezi tazama ni mama makubwa big wanavaa dira wanakatika as wako bed huku wamelala chini Mmmmm hakifai.

Si ni hata wewe ni Mwanamke ?
Hayo mauno yalikushangaza nini ?
Labda ingekua wewe kiuno huna!
 
Ndo nipo hapa kwenye vigodoro aisee ni vingi hivyo balaa!
 
Back
Top Bottom